TEAMS
TEAM:
Tanzanian Workshop against Anti-microbial resistance (TAW-AMR).
COUNTRY:
Tanzania
UNIVERSITY:
1. Muhimbili University of Health And Allied Sciences (Muhas)
2. University Of Dar Es Salaam (Udsm)
Petro Lutego (Medicine and surgery) , Lilian Marco (Medicine and surgery), Jesca Msule (B.Sc. in Telecommunication Engineering), Marynas Duduye (Medicine and surgery), Erick Luta (Medicine and surgery).
Why we chose TAW-AMR
The name of the team TAW-AMR has been chosen so since we are envisioning ourself as an independent part of the system that develop various important resources, expertise and ability to impact knowledge towards the communities in Tanzania.
We are envisioning to be an educative system, be able to reach even the vulnerable populations in Tanzania where we get to educate on what AMR is, what we look forward to and the ways we can come up with to develop and overcome AMR challenge.
Moreover, we are looking forward to even reach the various stakeholders in the country on what can be done to tackle AMR based on research work and findings. Hence due to this, a workshop becomes complete and we can work from it.
Other Teams
OUR STORY
Meeting together and deciding to create the group was highly based on the interest and passion towards acquiring knowledge on AMR. As medical students at MUHAS, we have been highly interested to acquire knowledge on AMR through which we can use to reach the community. We believe as medical students it is our duty to convert the sophisticated information to easier and more understandable one and has laid foundation to apply.
Also, as non-medical students, we believe still we have chance to impact since the issue on AMR is solely based on one health approach to complete action and hence non-medical field comes into action too. Seeing this opportunity (AMR Ambassadors Program), we discussed our interest, common goals and decided to apply for this opportunity, we then started laying down common objectives we could have towards this opportunity. As a group we expect to develop a long-term part of the system where after acquiring knowledge we will use it to develop and strengthen health systems in Tanzania and impact the vulnerable communities. Also, looking forward to create and produce digital contents that will produce education on AMR to benefit the community.
Also, we expect, through the partnership we will be able to raise other new young ambassadors who will be interested towards impacting the community on AMR and will be ready to work hand in hand. We expect to do this also considering it is a long-term program we are expecting to have to bring changes into the system. Looking forward to see a changed community knowledgeable on AMR and its challenges. Some of the innovative ideas we have thought of and planning to implement include developing various cartoon animations talking specifically on the better practices towards tackling AMR. Also, through this, will be based as a platform through showing the effects of poor practices that lead to increased burden of AMR in the country. Also, we are looking highly innovative towards developing the health system to allow purchase of antimicrobials from pharmacies or drug storage places while having full doctor prescription. This can be done solely by the application of technology, having various systems for online talk with doctors and ability to obtain advice, then this can be carried to the issue of drug prescription and help to reduce the burden of AMR in the country and later on Africa at large.
Swahili
Utangulizi:
- Dawa za kuua viini – ni dawa za kupambana na virusi, kuvu, bakteria pamoja na vimelea vyote vinavyosababisha magonjwa mbalimbali kwa binadamu, wanyama na mimea. Hivyo zinatumika kuzuia na kutibu maambukizi kwa binadamu, wanyama na mimea. Mfano wa dawa hizi ni antibayotiki, ni dawa za kutibu magonjwa yanayosababishwa na vimelea vinavyofahamika kama bakteria. Antibayotiki zinazotumika kutibu magonjwa ya wanyama ni pamoja na oxytetracycline, penicilin, erythromycin na hizo zinazotumika kwa binadamu mfano amoxyclav, tetracycline na kadhalika.
- Hali ya usugu wa dawa za kuua viini (AMR) hutokea wakati viini, virusi, kuvu na vimelea vimebadilika baada ya muda na haviwezi tena kutibika kwa dawa hivyo kufanya maambukizi hayo kuwa magumu kutibika. Hii inaongeza hatari ya kuenea kwa ugonjwa, ugonjwa kuzidi kuwa mbaya na hata kifo. Kulingana na Shirika la Afya Duniani (WHO), usugu wa madawa (AMR) ni moja ya matishio makuu 10 ya afya ya umma duniani yanayowakabili binadamu. Matumizi mabaya ya dawa na matumizi ya dawa za kuua viini kupita kiasi ndiyo chanzo kikuu kinachopelekea vimelea vya magonjwa kukinzana na dawa.
Mengineyo:
Mambo yanayosababisha usugu wa vimelea vya magonjwa kwa dawa.
- Kutokukamilisha dozi iliyoelekezwa na mtaalamu wa afya ya binadamu/mifugo.
- Kutumia dawa zisizo na ubora au feki.
- Kutumia dawa zilizokwisha muda wake wa matumizi.
- Kwa binadamu kula nyama,mayai au kunywa maziwa au damu yenye masalia ya dawa.
- Kula mazao ya mnyama yaliyotolewa bila kuzingatia muda wa kwisha dawa mwilini(Withdraw Period).
- Kutumia dawa bila kushauliwa na mtaalamu wa afya za mifugo/binadamu.
- Utupaji holela wa mabaki ya dawa.
- Kutumia dawa isivyofaa.Mfano dawa ya kumeza inatumika kwa sindano.
- Kutumia dawa za binadamu kutibu wanyama.
- Matumizi ya dawa hususani antibayotiki kwenye chakula cha mifugo kwa ajili ya kunenepesha au kuharakisha ukuaji.
- Mgonjwa kutokumaliza dozi ya dawa kama ilivyoelekezwa wakati wa matibabu.
- Tabia ya mgonjwa au mfugaji kununua au kutumia dawa bila kupata ushauri wa wataalamu.
Madhara yanayosababishwa na usugu wa vimelea vya magonjwa kwa dawa.
- Kutokupona ugonjwa hata baada ya kutumia dawa ambazo zimekua zikitibu ugonjwa husika.
- Kuongezeka kwa gharama za matibabu kwa binadamu na mnyama.
- Kupata magonjwa nyemelezi kutokana na tiba ya muda mrefu.
- Upungufu wa chakula(nyama,maziwa,mayai,samaki n.k)kusikolingana na ongezeko kubwa la watu duniani,hivyo hupelekea lishe duni na kusababisha utapiamlo.
- Husababisha kuibuka na kuenea kwa magonjwa sugu yasiyotibika na kupelekea vifo na muda Zaidi wa kukaa hospitalini.Mfano kifia kikuu sugu,maambukizi kwenye njia ya mkojo(UTI)na UKIMWI sugu.
Namna ya kuzuia usugu wa vimelea vya magonjwa kwa dawa.
- Kuzingatia ushauri unaotolewa na afya ya wanyama na binadamu.
- Kutotumia dawa zilizokwisha muda wake,soma muda wa kwisha matumizi ya dawa kwenye chupa au pakiti ya dawa.
- Kuteketeza mabaki ya dawa kwa kufuata ushauri wa wataalam wa afya ya binadamu na mifugo.
- Kuzingati ushauri wa wataalam kuhusu matumizi ya nyama,maziwa na mayai kwa mifugo ilitibiwa na dawa.
- Kutotumia vishoka kutibu wanyama
- Tumia njia sahihi ya kumpatia mnyama dawa kama ilivyoelekezwa na mtengenezaji.
- Hifadhi dawa kama ilivyelekezwa na mtengenezaji.
- Pata dawa kutoka chanzo sahihi